Raia wa Kenya wapiga kura kwa amani

Your browser doesn’t support HTML5

Upigaji kura umefanyika siku ya Jumanne katika uchaguzi wa rais nchini Kenya. Kiongozi wa muda mrefu wa upinzani Raila Odinga ambaye anaungwa mkono na rais anayemaliza muda wake, Uhuru Kenyatta anakabiliana na naibu rais William Ruto ambaye amejiweka kama mtu asiye kwenye utawala na mtafutaji.