Wakenya wajitokeza wa wingi ili kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu.
Your browser doesn’t support HTML5
Abdushakur Aboud wa VOA ambaye yuko Nairobi aelezea hali ilivyokuwa asubuhi na mapema , wakati wapiga kura wakianza kumininika, pamoja na waangalizi wa kimataifa waliopo nchini humo.