Matangazo maalum ya saa nzima kuhusu maandalizi ya uchaguzi mkuu Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Tunapata ripoti mbalimbali na kuzungumza mubashara na waandishi wetu waliokita kambi maeneo tofauti tofauti ya Kenya kuhusu maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Jumanne Agosti 9, 2022.