Jopo la wataalam wa UN ladhibitisha kwamba wanajeshi wa Rwanda "wanawasaidia waasi kupigana DRC"

Your browser doesn’t support HTML5

Jopo la wataalam wa Umoja wa mataifa limesema uchunguzi wake umedhihirisha kwamba, licha ya utawala wa Rais Paul Kagame kukanusha shutuma za mara kwa mara, wanajeshi wa Rwanda wamekuwa wakiishirukiana na waasi nchin DRC.