Vijana wa Kenya wapewa wito kudumisha amani wakati wa uchaguzi.

Your browser doesn’t support HTML5

Mchuano ni mkali katika uchaguzi wa rais na wabunge nchini Kenya. Vijana wapewa wito wa kuzingatia amani na utulivu, hasa wakati na baada ya uchaguzi. Na mchambuzi Jackline Adhiambo anasema vijana wameonyesha ukomavu.