Spika wa bunge la Marekani aongoza ujumbe kwenda Asia

Your browser doesn’t support HTML5

Spika wa bunge la Marekani Nancy Pelosi amethibitisha leo kwamba anaongoza ujumbe wa wabunge kwenda bara la Asia lakini hajasema kama ataipinga China kwa kusimama Taiwan