Waziri wa mambo ya kigeni wa Russia Sergei Lavrov alaumu mataifa ya magharibi kwa hali ngumu ya uchumi ulimwenguni.
Your browser doesn’t support HTML5
Lavrov amesema hayo wakati wa kumaliza ziara yake ya siku nne barani Afrika Jumatano kwenye ubalozi wa Russia mjini Addis Ababa, Ethiopia. Amelaumu vikwazo vilivyowekewa taifa lake na mataifa ya magharibi.