Shirika la kimataifa la fedha , IMF lasema kwamba uchumi wa dunia unajikokota.

Your browser doesn’t support HTML5

IMF imesema kwamba hali hiyo ni kutokana na madhara ya janga la corona pamoja na uvamizi wa Russia nchini Ukraine. Imeongeza kusema kwamba kuinuka tena kwa uchumi huenda itachukua muda mrefu kuliko ilivyotarajiwa.