Waziri wa Mambo ya nje wa Russia aanza ziara barani Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov anafanya mazungumzo mjini Cairo na maafisa wa Misri wakati nchi yake ikijaribu kukabiliana na hatua ya kutengwa kidiplomasia na kuwekewa vikwazo na nchi za Magharibi kutokana na uvamizi wake wa Ukraine. Lavrov pia atazuru Ethiopia, Uganda na DRC.