Mabinti wanaosoma shule za kutwa Tanzania waeleza changamoto zao ikiwa ni pamoja na usafiri
Your browser doesn’t support HTML5
Mabinti wa shule za kutwa wametaja mimba za utotoni na kuchelewa shule ni moja ya changamoto zao kubwa kutokana na shida ya usafiri kuelekea na kutoka shuleni.