Biden akutwa na virusi vya Covid-19, kufanyia majukumu yake ndani ya Ikulu
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Marekani Joe Biden amepimwa na kupatikana na virusi vya Covid-19. Kwa mujibu wa msemaji wa White House Karine Jean-Pierre, rais huyo ana dalili zisizo kali za ugonjwa huo.