Vijana wengi washutumiwa kutumiwa katika wizi wa mifugo Uganda
Your browser doesn’t support HTML5
Zaidi ya vijana 400 wamematwa katika operesheni ya pamoja ya vyombo vya usalama katika eneo la Karamoja, huku juhudi za serikali za kuhamasisha vijana kuendelea na maosmo zikionekan kutofua dafu.