Wataalam waonya juu ya hatari ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Wasiwasi unaendelea kutanda nchini Kenya kuhusu athari za ongezeko la matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii kueneza taarifa potovu au za chuki kwelekea uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti.