Tume ya Huduma za Mahakama Kenya (JSC) imependekeza kwa Rais Uhuru Kenyatta kuajiriwa kwa majaji saba wa mahakama ya rufaa

Your browser doesn’t support HTML5

Jaji Mkuu wa Kenya Martha Koome alisema majaji hao walichaguliwa kwa uangalifu kufuatia mahojiano yaliyofanywa Juni mwaka huu na kumwomba rais awateue kujaza nafasi zilizoachwa wazi katika mahakama ya rufaa ambapo awali Rais Kenyatta alikataa kutokana na masuala ya uadilifu