Kwa Undani: Utata unaozunguka makubaliano kati ya serikali ya Kenya na kampuni ya UAE kuhusu usimamizi wa bandari
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.