Mtaalam wa masuala ya kiuchumi azungumzia funzo ambalo mataifa ya kifarika yanaweza kupata kutokana na hali nchini Sri Lanka.
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati mzozo wa kisiasa na kiuchumi ukiendelea nchini humo, rais Gotabaya Rajapaksa tayari amesema kwamba atajiuzulu Jumatano, baada ya waziri mkuu kujiuzulu Jumamosi.