Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi aashiria kukabiliana na Rwanda kwa madai ya kushirkiana na M23.
Your browser doesn’t support HTML5
Matamshi hayo ni kwa mujibu wa gazeti la Financial Times, wakati ambapo viongozi wa mataifa yote mawili wanafanya kikao cha amani nchini Angola.