Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yatangaza kupunguza saa za kufunguliwa kwa mpaka wake na Rwanda.

Your browser doesn’t support HTML5

Tangazo hilo la Jumanne linafuatia kutokota kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya mataifa yote mawili wakati viongozi wao wakipanga kufanya mkutano wa kutafuta suluhisho, Angola ikiwa mwenyeji.