Jopo la uchunguzi la UN laiomba Ethiopia kukomesha ukiukaji wa haki za binadamu

Your browser doesn’t support HTML5

Jopo la uchunguzi la Umoja wa mataifa limetoa wito kwa serikali ya Ethiopia kukomesha vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu unaohusiana na mzozo nchini humo na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria wahusika wa vitendo hivyo.