Mabaki ya Waziri Mkuu wa Zamani wa DRC, Patrice Lumumba, yazikwa
Your browser doesn’t support HTML5
Jino la aliyekuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Patrice Lumunba, llizikwa Alhamisi katika siku ambapo Wakongomani waliadhimisha miaka 62 ya Uhuru kutoka kwa Ubelgiji.