Pesa zinazosalia kwenye akaunti za simu na benki wakati mteja amefariki wzaibua utata
Your browser doesn’t support HTML5
Serikali ya Tanzania imesema iko karibu kukamilisha mchakato ya kuunda sheria mahsusi kuhusu pesa zinazosalia kwenye akaunti za simu na benki pindi mteja anapofariki baada ya utata kuibukia.