Mashirika ya kiraia DRC yatoa wito kwa Umoja wa Mataifa kulinda raia.

Your browser doesn’t support HTML5

Mashirika ya kiraia huko Jomba wilayani Rutshuru yameomba Umoja wa Mataifa kulazimisha kikosi chake cha MONUSCO kuwalinda wananchi wa Congo na kusaidia jeshi la Congo kuzima uasi wa M23.