Mkuu wa Baraza la haki za binadamu la Umoja wa mataifa atangaza kustaafu

Your browser doesn’t support HTML5

Mkuu wa Baraza la Umoja wa mataifa la haki za binadamu Michelle Bachelet amesema atacha wadhifa wake kama Kamishna mkuu wakati muhula wake utakapokuwa umemalizika mwishoni mwa mwezi Agosti.