Maelfu ya watu wakimbia mapigano makali kati ya jeshi la DRC na waasi wa M23
Your browser doesn’t support HTML5
Maelfu ya wakazi wa Bunagana na Jomba wamelazimika kwa mara nyingine kuhama makazi yao na kukimbilia nchini Uganda na wengine msituni , kufuatia mapigano mapya na makali kati ya jeshi la serikali , FARDC na waasi wa M23 karibu na mji wa Bunagana siku ya Jumapili.