Maafisa wa Libya warejea kwenye mazungumzo ya marekebisho ya katiba

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Libya walirejea katika mji mkuu wa Misri Jumapili kwa ajili ya duru ya tatu ya mazungumzo kuhusu marekebisho ya katiba kwa ajili ya uchaguzi.