Serikali ya Nigeria inafanya msako kuwatafuta magaidi waliohusika na shambulizi kwenye kanisa lililosababisha vifo zaidi ya watu 50
Your browser doesn’t support HTML5
Gavana wa jimbo la Ondo anasema waliotekeleza shambulizi hilo dhidi ya kanisa la kikatoliki la St. Francis huko Owo watasakwa hadi wapatikane na pia watashtakiwa kwa mujibu wa sharia