Miriam Chemmos atoa shukran kwa kibao chake Uhai

Your browser doesn’t support HTML5

Msanii wa Afro Beat Miriam Chemoss mkazi wa Carlifornia Marekani mwenye asili ya Kenya ametoa kibao chake Uhai.

Anasema anatoa shukran kwa Uhai na usalama baada ya karibu mika miwili ya janga na kufungwa kwa shughuli mbali mbali.

Katika kibao chake ameshirikiana na mwanamuizki wa DRC Jaja Bashengezi na kuwaasa Vijana wa Afrika wanaotaka kuingia kwenye muziki wasisahau asili yao.