Siku ya kimataifa ya kupambana na utumiaji wa tumbako yaadhinishwa kote ulimwenguni wakati maoni tofauti yakitolewa.

Your browser doesn’t support HTML5

Nchini Tanzania maadhimisho yalifanyika wakati kukiwa na shinikizo la kupiga marufuku ya zao hilo licha ya kwamba linatoa ajira pamoja na kupatia serikali kipato.