Siku ya kimataifa ya kupinga tobacco yaadhimishwa Jumanne wakati shinikizo la kupambana na utumizi wake likiendelea kutolewa.

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati wa maadhimisho hayo nchini Tanzania, ombi limetolewa na kupiga marufuku zao hilo kwa madai kwamba linaharibu vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa, licha ya kuwa linatengeneza ajira pamoja na kuletea serikali kipato.