Mkuu wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan ameondoa hali ya dharura iliyowekwa tangu mapinduzi ya kijeshi mwaka 2021

Your browser doesn’t support HTML5

Agizo hilo lilitolewa ili kutayarisha mazingira ya mazungumzo yenye matunda na yenye maana ambayo yatafikia utulivu katika kipindi cha mpito ilisema taarifa.