Shirikisho la kitaifa la wamiliki wa bunduki la Marekani, NRA, kufanya mkutano wake wa kila mwaka mwishoni mwa wiki jimboni Texas.
Your browser doesn’t support HTML5
NRA wanakutana siku chache baada ya mauaji ya bunduki ya watoto wa shule kwenye shule moja jimboni humo, licha ya shinikizo kutoka kwa wanaharakati pamoja na baadhi ya wanasiasa, wakiitisha marekebisho kwenye sheria za umiliki wa bunduki.