Wawaniaji huru wa urais nchini Kenya walalamikia masharti makali kutoka tume ya uchaguzi.
Your browser doesn’t support HTML5
Baadhi ya wagombea huru wanasema kwamba baadhi ya masharti kama vile kukusanya idadi fulani ya saini kutoka kwa wafuasi wao ni suala lisilowezekana , huku baadhi wakida kwamba tume ya IEBC ina njama ya kuwafungia nje ya uchaguzi wa Agosti 9. Kuna wale ambao tayari wametishia kwenda mahakamani.