Makampuni ya Marekani yaonywa juu ya kufanya biashara na Sudan.
Your browser doesn’t support HTML5
Marekani yazionya kampuni zake kuhusu hatari zinazoongezeka za kufanya biashara na makampuni yanayomilikiwa na serikali na kudhibitiwa na jeshi nchini Sudan.