Wakenya wahamasika zaidi baada ya kutangazwa wagombea wenza
Your browser doesn’t support HTML5
Nchini Kenya joto la kisiasa linaendelea kupanda hasa baada ya wagombea urais kutangaza wagombea wenza wao . Katika mjadawa wa moja kwa moja wachambuzi wanaeleza wananchi wameonekana kuhamasika zaidi.