Wizara ya ulinzi ya Russia ilisema Alhamis mamia ya wanajeshi wa Ukraine wamejisalimisha katika kiwanda cha chuma cha Azovstal

Your browser doesn’t support HTML5

Wizara ya ulinzi ya Russia ilisema wanajeshi wa Ukraine wamejisalimisha katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kilichozingirwa huko Mariupol na kufanya jumla ya wanajeshi 1,730 waliojisalimisha wiki hii. Pia kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu (ICRC) ilisema katika taarifa yake