Miji ya pili itakuwa kwa haraka kuliko miji mikuu barani Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa wataalam wa miji barani Afrika wa Africities, nchini Kenya wasema miji midogo itashuhudia ukuaji wa haraka kulinganishwa na miji mikuu katika miaka ijayo.