Jimbo la Kisumu, mwenyeji wa mkutano wa marais wa Afrika kuhusu ukuaji wa miji barani humo

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anatarajiwa kufungua rasmi mkutano huo leo Jumanne, ambao unahudhuriwa pia na takriban marais watano , marais waliostaafu, wajasiriamali na mashirika ya kimataifa.