Siku ya kimataifa ya wauguzi yaadhimishwa wauguzi waeleza mabadiliko katika kazi zao.
Your browser doesn’t support HTML5
Katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi wauguzi wanaeleza umuhimu wa kazi yao na changamoto wanazopitia wakitoa wito wa serikali kutoa kipaumbele zaidi kwa wauguzi na kuwapa vifaa na teknolojia.