Shirika la Transformers Mathare linasaidia wanawake walioathirika na Ukimwi kujikimu kimaisha

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Transformers Mathare linasaidia wanawake walioathirika na Ukimwi kujikimu kimaisha pamoja na wasichana waliopata uja uzito katika umri mdogo pamoja na kuwapa elimu.