Watu zaidi ya 40 wameuawa kwa mapanga nchini DRC na kundi linaloshukiwa kutoka CODECO

Your browser doesn’t support HTML5

Watu zaidi ya 40 wengi wanawake na watoto wameuawa kwa kukatwa mapanga huko Ituri katika Jamhuri vya Kidemokrasi ya Congo na wanamgambo wanaoshukiwa kutoka kundi la CODECO