Zaidi ya watu milioni 20 wa pembe ya Afrika wakabiliwa na uhaba mkubwa zaidi wa chakula kutokana na ukame
Your browser doesn’t support HTML5
Katika majadiliano ya wiki, Livetalk, tunaangazia ripoti ya Umoja wa Mataifa inayoonyesha taswira ya kutia wasiwasi kuhusu hali ya ukame katika pembe ya Afrika huku Kenya, Ethiopia na Somalia zikiongoza kwa idadi ya watu walioathiriwa moja kwa moja.