Taharuki yazidi nchini Tanzania baada ya kupanda kwa bei ya mafuta ya Petroli na Diseli
Your browser doesn’t support HTML5
Kutokana na taharuki ya kupanda kwa bei ya mafuta ya Petroli na Diseli, wabunge waisihi serekali kuondoa tozo za mafuta.
Wananchi waandamana mjini Bukavu wakitaka sheria za uchaguzi kutobagua wanasiasa kikabila.