Muungano wa Azimio la Umoja wa Kenya wabadilisha mbinu za kumtafuta mgombea mwenza wa urais

Your browser doesn’t support HTML5

Muungano wa Azimio la Umoja Kenya Moja Jumatano ulitangaza kwamba mchakato uliokuwa uanze wa kuwahoji wawaniaji wa nafasi ya naibu wa rais umesitishwa baada ya utata kuhusu mchakato huo kuibuka.