Rasimu iliyovuja kuhusu sheria ya utoaji mimba Marekani yaibua utata mkubwa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Bidenametoa wito kwa wapiga kura wa Marekani Jumanne kutetea haki ya msingi ya kutoa mimba baada ya rasimu iliyovuja iliyopendekeza Mahakama ya Juu iko tayari kufuta uamuzi wa muda mrefu wa kulinda haki ya mwanamke kutoa mimba.