Vijana kwenye mitandao ya kijamii wanakosa uhuru Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Kutokana na matukio mbali mbali ya ukamataji na ufuatiliaji pamoja na sheria kandamizi kwenye mitandao ya kijamii vijana wanaeleza wanakosa uhuru wa habari nchini Uganda.