Baraza la Usalama la UN laongeza muda wa ujumbe wake nchini Libya kwa miaka mitatu

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa ujumbe wake wa kisiasa nchini Libya kwa miaka mitatu baada ya kupitisha azimio hilo kwa kauli moja.