Kenya yazindua kampeni ya kupunguza visa vya Malaria.
Your browser doesn’t support HTML5
Wasimamizi wa kampeni hiyo wanasema ni kampeni ya kuongeza uelewa wa athari za Malaria katika jamii na kusukuma mbele lengo la serikali la kutokomeza ugonjwa huo ndani ya jamii.