Mfumuko wa bei watajwa ni fursa kwa Vijana kujiajiri.

Your browser doesn’t support HTML5

Kutokana na kuongezeka mfumuko wa bei msomi wa masuala ya uchumi nchini Tanzania Godfrey Mnubi anasema vijana wanaweza kuongeza ubunifu na ujuzi na kutumia soko la ndani.