Mwanajeshi mlevi aua kwa risasi watu 7 katika wilaya ya Fizi nchini DRC.

Your browser doesn’t support HTML5

Watu hao saba waliouawa na mwanajeshi huyo ambaye inasemekena alikuwa amelewa, walikuwa ndani ya boti kwenye ziwa Tanganyika. Baadaye mwanajeshi huyo naye aliuawa na raia wenye hasira.