Tukio la polisi kumfyatulia risasi mhamiaji mweusi limeibua maandamano Michigan nchini Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Patrick Lyoya mwenye umri wa miaka 26 mzaliwa wa Congo alipigwa risasi ya kichwa April 4 katika eneo la Grand Rapids huko Michigan nchini Marekani na afisa polisi mzungu baada ya majibizano mafupi